Karibuni sana wote kwenye blog yangu inayohusiana na bongo movie na kila kitu kuhusiana na entertainment na jamii.
KARIBUNI
Ahsanteni sana kuweza kuwa na mimi kwenye tasnia nzima ya filamu na juweni wote nawapenda na nashkuru kuingia kwenye blog yangu naahidi utafurahi kuwa kwenye blog ya NDAUKA ENTERTAINMENT
Friday, January 6, 2012
HII NI FILAMU YANGU NYENGINE MPYA AMBAYO IMESHIRIKIANA NA MICHAEL, IRENE PAUL ......NI FILAMU ILIYOJAA VISA VINGI VYA MAPENZI NA MAISHA NA MSIKOSE KUIANGALIA
No comments:
Post a Comment