KARIBUNI

Ahsanteni sana kuweza kuwa na mimi kwenye tasnia nzima ya filamu na juweni wote nawapenda na nashkuru kuingia kwenye blog yangu
naahidi utafurahi kuwa kwenye blog ya NDAUKA ENTERTAINMENT

Tuesday, November 6, 2012

NDAUKA ENTERTAINMENT: MOVIE MPYA

NDAUKA ENTERTAINMENT: MOVIE MPYA: JE HII MNAIONAJE TENA NI KAZI ILIYOSHIBA VIWANGO TOKEA KWETU.

Monday, November 5, 2012

MOVIE MPYA

JE HII MNAIONAJE TENA NI KAZI ILIYOSHIBA VIWANGO TOKEA KWETU.
Hii ni filamu nyengine ambayo Rose Ndauka amecheza na wasanii wengine wote na ni filamu nzuri.
Naomba mungu aibariki Tanzania

A . JAY BLOG: BRIGITTE ALFRED NDIYE MISS TANZANIA 2012.....

A . JAY BLOG: BRIGITTE ALFRED NDIYE MISS TANZANIA 2012.....

Saturday, March 24, 2012

THAT IS TREADSTONE INC WITH NDAUKA ENTERTAINMENT 


BAHATI ALIKUA ANELEKEA KUJIPIGA KIDOGO

 LILY, BRENDA AND KENNY...TULENI KWANZA EEH HAPA HAMNA ACTION
 NDAUKA FAMILY
 NDAUKA , PILIPILI NA GREAT KANUMBA
 KULENI JAMANI
 MSHAURI MKUU WA NDAUKA ENTERTAINMENT BW ABOUBAKAR KILIMA AKITOA HUTUBA KIDOGO
 WEKENI TU JAMANI WANANGU MSIOGOPE
 NAAM KULA...TENA WALA USIMUOGOPE MTU MAHMOOD
 NDAUKA
 AHSANTENI KWA KULA
THANX KWA KUWA NA MIMI BEGA KWA BEGA

Friday, February 24, 2012

This is a special CONGRATS from Ndauka Entertainment goes direct to THE GREAT STEVEN KANUMBA for being selected by african in FOFA accra Ghana.. CONGRATULATION MY DEAR BROTHER
Congratulation Betty, and welcome to Ndauka Entertainment Family
Congratulation mahamud and welcome to Ndauka Entertainment Family
Juliana welcome to ndauka entertainment as Ndaukas family member.
THAT IS ROSE NDAUKA WITH HER ZIFF BEST ACTRESS CERTIFICATE
Busy day.......welcome to Ndauka,s Family.

Thursday, February 23, 2012

 Rose Ndauka and Arafa Kotta at Ndauka Entertainment searching for talent
She will never stop do her pose....and that was thats me guys cheers.

Sunday, January 29, 2012
MICHAEL NAE HAKUWA NYUMA KABISA KWENYE KUTENGENEZA COVER ZA FILAMU ZA LOVE ME OR LOVE ME NOT...
 IRENE PAUL AKIWA ANATENGENEZA PICHA ZA COVER ZA MOVIE YA NDAUKA ENTERTAINMENT KWENYE STUDIO ZA TREADSTONE INC
 NANI YULE PALE
HAHAHAAAA IRENE PAUL UNANIFURAHISHA SANA MPAKA RAHA JAMANI SUBIRINI HII MOVIE YA LOVE ME OR LOVE ME NOT MTAONA VITUKO VYA HUYU MDADA
HAPA NIKIWA NA KIONGOZI WA KIKUNDI CHA JAKAYA THEATRE ARTS WAKIWA WAMETEMBELEA OFISI ZA NDAUKA ENTERTAINMENT
KHALEED TAJIRI AKIWA KWENYE STUDIO ZAO ZA NDAUKA ENTERTAINMENT
NDAUKA ENTERTAINMENT AKIWA NA CHIPUKIZI WA KUKUNDI CHA JAKAYA THEATRE ARTS WAKIWA WAMETEMBELEA OFISI ZAKE ZILIZOPO MAGOMENI KWA AJILI YA KUWAPA SUPPORT KWENYE TASNIA NZIMA YA FILAMU

SUMA LEE PIA HAKUNAGA YEYE NA NDAUKA ENTERTAINMENT AKIWA YUKO KWENYE STUDIO HIZO ZA NDAUKA ENTERTAINMENT NA TREADSTONE INC......THANX SUMA LEE

Wednesday, January 25, 2012

HUYU NI YUSUPH NGASSA AKIWA KWENYE OFISI ZA NDAUKA ENTERTAINMENT NA TREADSTONE INC AKIWA AKIFANYA MAWILI MATATU...UPOFU THE MOVIE

Tuesday, January 24, 2012


AHSANTENI SANA NA NAWASHKURU KWA KUNIWEZESHA KUWA MUIGIZAJI BORA WA KIKE NA NAMSHKURU SANA JB KWA KUNIPOKELEA TUNZO YANGU NA JB AHSANTE KWA KUNIPOKELEA TUNZO YANGU YA KWANZA KWENYE TASNIA YA FILAMU
THIS IS KHALEED TAJIRI FROM NDAUKA ENTERTAINMENT WHEN HE WAS SHOOTING THIS MOVIE CALLED UPOFU
this is the best cameraman ever in ndauka entertainment called JAMAL THE ADRUSSS

Saturday, January 7, 2012

NDAUKA ENTERTAINMENT: NEXT MOVIE

NDAUKA ENTERTAINMENT: NEXT MOVIE: NDAUKA ENTERTAINMENT KUMTOA RASMI KIJANA MAHIRI KATIKA FILAMU ZA KIBONGO ANAEKWENDA KWA JILA LA KHALEED TAJIRI NA KWENYE FILAMU HII YA UP...

NEXT MOVIE

NDAUKA ENTERTAINMENT KUMTOA RASMI KIJANA MAHIRI KATIKA FILAMU ZA KIBONGO ANAEKWENDA KWA JILA LA KHALEED TAJIRI NA KWENYE FILAMU HII YA UPOFU AMBAYO INATARAJIWA KUWEPO SOKONI MUDA SIO MREFU NI KAZI ILIYOFANYWA KWA UMAHIRI MKUBWA NA KAMPUNI YA TREADSTONE INC IKISHIRIKIANA NA NDAUKA ENTERTAINMENT......COMING SOON

Friday, January 6, 2012

NAJIVUNIA SANA KUFANYA KAZI NA WASICHANA WENZANGU TENA KWA USHIRIKIANO MKUBWA KWA MWAKA ULIOPITA WA 2011 NA NATUMAINI KUFANYA ZAIDI MWAKA HUU..
HII NI KAZI INAYOFUATA KUTOKA NDAUKA MAGAZINE AMBAYO ITAFUNGULIWA  SOON...........
HII NI FILAMU YANGU NYENGINE MPYA AMBAYO IMESHIRIKIANA NA MICHAEL, IRENE PAUL ......NI FILAMU ILIYOJAA VISA VINGI VYA MAPENZI NA MAISHA NA MSIKOSE KUIANGALIA
HII ILIKUA KWENYE PARTY YA KUADHIMISHA MIAKA SITA YA KAMPUNI YA USAMBAZAJI WA FILAMU YA STEPS ENTERTAINMENT LIMITED..........
kati ya filamu nilizofanya na nikafurahi hii ilikuwepo katika mwaka 2011...steven kanumba pia amekua msanii wa karibu sana kwenye kazi zangu na nashkuru sana kwa hilo kaka steven kanumba
hii ni moja ya kazi nilizozifanya na nashkuru kwa kunipokea kwa RUBEN AND ANGEL na humu nimewashirikisha wasanii wengi waliokua chipukizi ila sas sio chipukizi tena na nawashkuru